utamuuuuu
NILISIKIA kelele kama za watu wanagombana,
kwa vile nilistuka toka usingizini
sikujua zimetokea wapi, lakini baada ya
muda nikajua zinatokea uwani, nikaamka na kuvaa tshirt kisha nikatoka, nilikua
naishi katika nyumba ya kupanga, mimi nikikaa nyumba ya mbele na wapangaji wenzangu
walikua wanaishi uwani.
Nilimkuta mpangaji mwenzangu aitwae Moses
akiwa kamshika mkewe akimzuia asifanye fujo, nikamuona mwanamke mwingine ambae
pia ni jirani yetu aitwae Pemi akiwa uchi kabisa, kasimama katika mlango wa
Moses. Nilishangaa kwa nini yupo katika hali ile, lakini nikagundua nguo zake
alikua kazishika mke wa Moses. Pemi alipoona nimefungua mlango wangu
alichomoka na kuingia kwangu kisha akaufunga mlango kwa ndani na kuniacha
nikiwa uwani na Moses na mkewe.